Asilimia 41 ya Silaha Zote Tanzania Bara Hazijahakikiwa, Mwisho Dec 20, Wahusika Kufutiwa Leseni
Global Publishers November 18, 2016
SHARE THIS:
Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, CP-Robart Boaz akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).Akisikiliza maswali ya wanahabari yaliyokuwa yakiulizwa. Mkutano na wanahabari ukiendelea.