×

RwandAir Yanunua Ndege Kali Afrika, Duniani ya Pili

marquee

MOJA ya vitu ambavyo vina ‘kiki’ sana kwenye Mataifa ya Afrika Mashariki kwa sasa ni pamoja na huduma za usafiri wa anga, Shirika la Ndege la Rwanda, RwandAir limenunua ndege mpya aina ya Boeing 737-800 Next Gen ambayo inatarajiwa kuongeza ushindani wa safari za anga duniani.

14793389631

RwandAir imekuwa kampuni ya kwanza Barani Afrika na ya pili duniani kununua ndege ya aina hiyo ambayo imewekwa vifaa vya kuwezesha abiria kutumia huduma za intaneti kwa njia ya Wi-Fi.

1475012201ra-toulouse-2

Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 154 ilitolewa oda ya kununuliwa na Rwanda miaka 6 iliyopita, imetua kwenye uwanja wa ndege wa Kigali Novemba 16, 2016 saa 10 usiku.

Waziri wa Uchukuzi wa Rwanda, Alexis Nzahabwanimana, amesema ndege hiyo mpya itawezesha shirika hilo kupanua safari zake barani Asia, Ulaya na Marekani.

Mwezi Septemba mwaka huu, Serikali ya Rwanda ilinunua ndege nyingine ambayo ni ya kwanza Afrika Mashariki aina ya Airbus 330-200, iliyopewa jina la ‘Ubumwe’ ikiwa na maana ya Umoja.

 

14793400521John Mirenge, Mkurugenzi Mtendaji wa RwandAir akiitambulisha ndege hiyo iliyopewa jina la ‘Kalisimbi’.

14793401531

14793402571

14793403221

14793404351

14793405861Dk. Alexis Nzahabwanimana, Waziri wa Usafirishaji akizungumza wakati wa mapokezi ya ndege hiyo.

14793407271

14793399771

14793408721

halotel-strip-1