The House of Social Media
gunners X

Manchester United Watoshana Nguvu na Arsenal

3a8b2b4800000578-3952308-image-a-66_1479561628822 3a8b2c9000000578-3952308-image-m-69_1479561674069 3a8b6f7f00000578-3952308-image-m-86_1479564160520 3a8b6f5800000578-3952308-image-a-85_1479564158450 3a8b11a600000578-0-image-m-63_1479561066759 3a8b15e800000578-0-image-m-54_1479560939118 3a8b30c300000578-3952308-image-a-78_1479563713021 3a8b58a800000578-3952308-image-a-76_1479563653587 3a8b88bc00000578-3952308-image-a-116_1479565355185 3a8b89d000000578-3952308-image-a-119_1479565607656 3a8b146d00000578-0-image-a-55_1479560953408 3a8b730b00000578-3952308-image-a-88_1479564299024 3a8b194000000578-0-image-m-51_1479560920922 3a8b699200000578-3952308-image-m-81_1479564060052 3a8b713000000578-3952308-image-a-90_1479564372927 3a8b882200000578-3952308-image-a-108_1479565306485

Manchester United wanaonolewa na Kocha asiyeishiwa maneno, Jose Mourinho waliyokuwa nyumbani kweye uwanja wao wa Old Trafford, wameshindwa kutamba mbele ya mahasimu wao Arsenal kwenye mechi ya Ligi Kuu England baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1.

Mechi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa na watu wengi sehemu mbalimbali dunian, imefanya mwendelezo wa matokeo ya Mourinho kikosini kwake kutokuwa ya kuridhisha kama watu wengi walivyokuwa wakitarajia wakati akitua kwa Mashetani Wekundu hao.

Katika mechi hiyo, kipindi chote cha kwanza timu zote zilienda mapumzikoni zikiwa sare ya bila kufungana, lakini baada ya kutoka mapumzikoni hali ilibadilika ghafla uwanjani huku kila timu ikifanya juhudi za hali na mali ili kuondoka na matokeo.

Wenyeji Manchester ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wao, juan Mata kunako dakika ya 68 baada ya kumalizia crosi nzuri kutoka kwa Ander Herrera. Olivier Giroud aliisawazishia Arsenal kunako dakika ya 89 ya mchezo huo.

halotel-strip-1

Comments are closed.