×

Happy Birthday Oscar Ndauka

15171198_1209784155782508_6072273770840626885_n Oscar Ndauka akiwa katika pozi.

LEO ni siku muhimu sana kwa Mhariri Kiongozi wa Global Publishers, Oscar Ndauka ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa Oscar Ndauka.

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Happy Birthday !