×

CCM Kufanya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Des 11-12

vikao-vya-cc-na-nec

DAR ES SALAAM: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa na kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Desemba 11-12 kikifuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa Desemba 13, 2016 jijini Dar es Salaam.