×

JKT Yawataka Wahitimu Kidato cha Sita Ambao Hawakujiunga na Vyuo Kuripoti Des 13

jkt-tb

JESHI la Kujenga Taifa kwa mara nyingine tena, linawatangazia wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita mwezi Mei 2016, ambao hawakuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria ya Operesheni Magufuli Awamu ya Kwanza na hawakupata nafasi ya kujiunga na vyuo vya elimu ya juu, kuripoti kwenye makambi ya JKT waliyopangiwa kabla ya tarehe 13 Desemba 2016.

Isome taarifa kamili kutoka JKT hapa chini;

jkt

jkt-kigoma