×

Simba Kama Kawa Waendeleza Kichapo kwa Ruvu Shooting

simba

Kikosi cha Simba kilichoanza leo dhidi ya Ruvu Shooting leo Uwanja wa Uhuru, Dar. Simba wameshinda bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting.

RUVU SHOOTING

Kikosi cha JKT Ruvu kilichoanza dhidi ya Simba leo.

img_1447 img_1442 img_1441

Wachezaji wa Simba wakipongezana baada ya kushinda bao la kwanza dhodi ya Ruvu Shooting.

img_1323

Mchezaji wa Simba akiwania mpira na mchezaji wa Ruvu.

img_1334 img_1335 img_1416

unnamed

PICHA: RICHARD BUKOS/GPL