×

Dully, Harmonize, Makomandoo Wakinukisha Maisha Basement Mwaka Mpya

img_8238 img_8241 img_8246 img_8253 img_8256 img_8298 img_8304 img_8313 img_8323 img_8325 img_8348 img_8350 img_8361 img_8362

Mkali wa ngoma ya Inde, Dully Sykes, usiku wa Mwaka Mpya aliangusha shoo ya nguvu kwenye Ukumbi wa Maisha Basement, Makumbusho jijini Dar sambamba na mkali wa Ngoma ya Matatizo, Harmonize na Kundi la Makomandoo.

Mpango mzima ulianza mishale ya saa saba usiku, Januari 2, 2017 ambapo Makomandoo ndiyo waliofungua steji, wakaangusha shoo ya nguvu huku wakishangiliwa, wakafuatiwa na Dully Sykes ambaye aliwarusha mashabiki zake kwa ngoma kali kama Inde, Salome, Kariakoo na nyingine kibao.

Aliyefunga pazia alikuwa ni Harmonize ambaye usiku huo aliongozana na ‘usingizi’ wake, mwanadada Wolper anayefanya poa kwenye Bongo Movie, aliyekamua mpaka majogoo.

Na Hillaly Daudi/ GPL.