
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Drake, Wizkid, Tiwa Sawage na wengine wamesinda Tuzo za Net People’s Choice ambazo hutolewa a kwa watu wa tasnia mbalimbali waliyofanya vizuri kwenye kazi zao kwa mwaka husika katika upande wa burudani, michezo na nyingine.
Tuzo hizo huandaliwa nchini Nigeria na washindi hutangazwa tu pasipo uwepo wa sherehe za utoaji wa tuzo hizo, ila wote waliyotangazwa washindi watapatiwa vyeti kutambua mchango wao kwa mwaka 2016.
Hapa ni Orodha washindi wa tuzo za Net People’s Choice Awards kwa mwaka 2016
Most Searched Personality Across Africa: Diamond Platnumz 
Most Searched Comedian: Basketmouth

Most Popular Musician: Wizkid 
Most Popular Comedian: Basketmouth 
Most popular celebrity (Global)
Most Popular Footballer: Mikel Obi 
Most Popular Couple: Teebillz na Tiwa Savage

Most Searched Musician (Male): Wizkid
Most Searched Musician (Female): Tiwa Savage