×

Edwin ‘Mac’ Temba Aja na Mkombozi Kwa Wenye Magari

magari-2

Mkurugenzi wa Mac Insurance Agency, Edwin Temba akifanya mahojiano na Global TV Online leo.

magari-3 magari-4 magari-5

Akiendelea kutoa ufafanuzi wa kulinda magari.

MKURUGENZI wa Mac Insurance Agency, Edwin Temba leo kupitia Global TV Online ametoa elimu ya jinsi ya kulinda gari linapokuwa popote kwa kutumia kifaa maalum kinachotumia GPRS.

Amewaomba watanzania kulinda magari yao kwa kuwa technolojia hiyo inasadia sana kulinda gari na kujua lilipo. Hii ni fursa kwa wananchi wenye watoto wa shule wanaopelekwa na madereva wao itasadia sana kujua njia anazopita na spidi anayotumia.

“Huduma hii inatolewa kwa kiwango kidogo sana cha 300,000/- tu kwa magari madogo, utafungiwa kifaa hicho na hutakiwi kumwambia mtu yeyote anayelitumia gari lako kama umefunga kifaa hicho.

“Lakini pia faida nyingine ni kwamba hata kama itapotea kwa kuibwa lazima utajua lilipofichwa.”

Kwa mtu yoyote anayetaka huduma hii awasiliane na sisi kwa namba hii 0715 000 890, 0782 120 3000, 0752 300 3000 Email: [email protected]