×

Mbalizi Nao Wanasema ni Zamu Yao Kushinda Nyumba Msimu Huu

shinda-nyummba-mbalizi-2

Msomaji akisoma Gazeti la Risasi Mchanganyiko linalokuwa mtaani kila Jumatano.

shinda-nyummba-mbalizi-3 shinda-nyummba-mbalizi-4

Wasomaji wakichangamkia Magazeti ya Championi na Risasi Mchanganyiko.shinda-nyummba-mbalizi-5 shinda-nyummba-mbalizi-6

Wakijaza kuponi iliyoko ukurasa wa pili kujaribu bahati yao endapo wataibuka na Nyumba Mpya yenye fenicha zake ndani itakayotolewa na Global Publishers kwa mshindi.shinda-nyummba-mbalizi-7 shinda-nyummba-mbalizi-8 shinda-nyummba-mbalizi-9

Kila msomaji akichangamkia gazeti.

shinda-nyummba-mbalizi-1

Gari la Matangazo.

WAKAZI wa Mablizi, Mbeya na viunga vyake wamepania kushinda nyumba kwenye Shindano kabambe la Shinda Nyumba lililoingia msimu wake wa pili Jumatano wiki hii baada ya kufunguliwa rasmi na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, kwenye ofisi za Global Publishers jijini Dar es Salaam.

Wakizungumza na mwandishi wa Global Publishers ambao ni wachapishaji wa magazti ya Amani, Championi, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda na Uwazi wameeleza kiu yao ya kuitaka nyumba hiyo huku wakiahidi kushiriki mwanz mwisho ili nyumba hiyo ashinde mu anayetokea Mbeya.

Kwa kuthibitisha hilo siku ya Uzinduzi wa Shindano hilo, wakazi wa Mbalali na viunga vyake walijitokeza kwa wingi kununua magazeti ya Global Publishers na kujaza kuponi zenye maelekezo ukurasa wa pili wa kila gazeti lililotajwa hapo juu.

Ndugu msoomaji, kushiriki Shinda Nyumba Msimu wa pili, nunua Gazeti lolote linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers (Amani, Championi, Ijumaa, Risasi, Ijumaa Wikienda au Uwazi), kisha jaza kuponi iliyopo ukurasa wa pili na ipeleke kwa wakala aliye karibu nawe au leta moja kwa moja oisini kwetu Bamaga Mwenge, Dar es Salaa. Kumbuka, Huenda wewe unayesoma hapa ndiye mshindi wa nyumba hiyo.