
SHINDA NYUMBA Awamu ya Pili ipo kwa ajili yako, kwa uwingi wa zawadi kushinda ni lazima. Ni kwa shilinig 500/= tu utaweza kumiliki Pikipiki, Smartphones, Decorder, Dinner Set na Vyombo vya ndani. Kubwa kabisa unaweza kumiliki Nyumba jijini Dar es Salaam kwa shilingi 500/= TU
Nunua moja kati ya magazeti haya, Amani, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi, Risasi na Uwazi kisha fuata maelekezo yaliyopo ukurasa wa pili.
Mtandao wa Global Publishers unaendelea kukusogezea vocha za bure mpaka hapo ulipo, sisi tunakufikia tu.
Leo tumekuletea hii mpya, pichani ni Bango la SHINDA NYUMBA AWAMU YA PILI, limewekwa eneo flani jijini dar es Salaam.
Unachotakiwa kufanya, comment eneo lilipo bango hilo.
Atakayekuwa wa kwanza kucomment eneo sahihi lilipo Bango la SHINDA NYUMBA , ataondoka na vocha ya Shilingi Elfu 10 ya mtandao atakaochagua mwenyewe.