×

Mzee Majuto Awafungukia Wanaosambaza Taarifa Kuwa Amefariki

majuto11AKIFANYA Kipindi cha  XXL ya Clouds FM leo Januuary 24, 2017, mtangazaji Soudy Brown amezungumza na mchekeshaji maarufu hapa Bongo, Mzee King Majuto kuhusu taarifa zinazosambazwa ambazo sio sahihi kuwa amepata ajali na amefariki.
“Na mwaka huu mnataka kunia tena, mimi ni mzima, mara kwa mara wanatangaza mimi nimekufa…. mbaya sana”, amesema Mzee Majuto