×

Rais Magufuli Akwea ‘Pipa’ Kuelekea Ethiopia Kwenye Mkutano wa 28 wa Wakuu wa Nchi za AU

magufuli7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa  Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika  uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea  Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU).

magufuli8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.
magufuli9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.
magufuli10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama.

magufuli11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi wa uwanjani hapo.
magufuli12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Mungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani walipokutana kwenye ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar , leo. Rais Assoumani alikuwa akitokea Comoro kupitia Dar es Salaam. Picha na IKULU

magufuli13