ILIPOISHIA: WIKI iliyopita mpenzi msomaji tuliishia pale kijana machachari Frank akiwa ameshafika safari baada ya kumruhusu Selina atangulie kufika. Frank akawa ameanza utundu upya kwa kushika embe la Selina, Selina akawa anahema na kujigeuza huku na huko.
SASA ENDELEA…
KULE chumbani kwa mama James, mama wa watu alikuwa akihangaika tu maana alikamatika kwa sababu alivuta picha ya mambo yaliyokuwa yakiendelea chumbani kwa Selina Maringo, akiwa katika hali hiyo akasikia mtu akibisha hodi, aliposikiliza kwa makini alibaini aliyebisha hodi alikuwa Patrick Yanga muuza samaki aina ya sato.
Kijana huyo alitokea kudatishwa sana na uzuri wa mama James na mara kwa mara alikuwa akimfikishia ujumbe wa kumtaka mama huyo kiutani kwani alielewa hata kama angefanyaje asingeweza kumpata kwa sababu ya ulofa wake. “Ila mama James wewe basi tu, wewe endelea kunitesa mtoto wa mwanamke mwenzako, yaani nami ningekuwa nazo hakika siku moja ningekuonjesha penzi langu,”
Patrick kijana kutoka Mkuyuni Mwanza alimfungukia mama huyo. Mama James aliyekuwa na shepu flani hivi ya kuhamasisha yale mambo ya kiutu uzima akiwa kajifunga kanga pekee alicheka na kumwuliza Patrick kama angeamua kumzawadia angeweza kucheza muziki wa kiutu uzima! “Sasa nitashindwaje, tena ukinionjesha hata huyo mumeo
utamkimbia, mimi ndiyo Patrick, sema ni kwa vile tuko hapa Dar, tungekuwa Mwanza ningekwambia ukawaulize warembo niliowahi kutoka nao wakupe habari za moto wangu wa gesi,” Patrick alimwambia mama huyo huku tayari suruali aliyovaa ikiwa imetutumka kwa mbele.
Kama unavyoelewa macho hayana pazia, mama James alipotupia macho eneo hilo ukijumlisha na kiu ya yale mambo yetu aliyokuwanayo, mwili ukamsisimka si kidogo, akatabasamu. “Vipi mama J naona unatabasamu?” Patrick akamwuliza. “Si namuona ndugu yako alivyochangamka!” Kwa kuwa mama huyo alipotoa kauli hiyo alikuwa akiliangalia eneo la mbele la suruali aliyovaa Patrick, kijana huyo alipojiangalia alicheka na kumwambia hali ile ilitokana na jinsi alivyokuwa akivutiwa na shepu yake nzuri.
“Wewe umekazania tu nina shepu nzuri, unaniweza lakini?” mama James ambaye hakika aliutamani mkwaju ngoma wa Patrick akamwambia kijana huyo. “Hata ukihitaji sasa hivi mi nakuonjesha, sema labla uhofie watu maana hii nyumba yenu ina watu kibao ndiyo maana inaitwa behewa la treni,” Patrick akamwambia.
Kauli ya kijana huyo ilimfanya mama James aangue kicheko na kumpiga kibao cha furaha Patrick begani, kijana huyo aliyekuwa kaingia ndani si akaupitisha mkono wake wa kushoto kwenye nyonga ya mama James akamvutia kwake na kumbusu. Mama huyo akiwa anashangazwa na busu la fasta alipopigwa na Patrick, kijana
huyo hakumpa nafasi, akampiga lingine na kumkumbatia, wakati mama huyo anauchomoa mkono uliobanwa na mkono wa Patrick si akajikuta ameifungua kanga na kubaki na nguo ya mwisho. Patrick aliyekuwa tayari hata kufumaniwa na mke huyo wa mtu ila si kumkosa, si akazidi kumtaiti mama wa watu, kama vile alijua ugonjwa mkubwa wa mama James ulikuwa kupigwa mabusu, akaendelea kumtwanga nayo mfululizo huku mkono mwingine ukimletea fujo mama huyo kwenye hipsi zake, akawa kamuua kabisa.
Kutokana na hali hiyo, kuepusha kukutwa na watu, mama James aliufunga mlango na kuwasha redio, Patrick ambaye naye muda huo hali ilikuwa mbaya hakutaka kuremba, alichojoa suruali yake fasta, akaipunyua nguo ya mwisho ya mke huyo wa mtu, kudadeki akamvutia kwenye sofa na kilichofuatia hapo piga picha mwenyewe. Kwa dakika chache sana, Patrick aliweza kumpa vionjo vikali mama James na kwa kuwa wote walikuwa na shauku ya kuzila tende, mama huyo aliweza kupasua madafu mawili mfululizo, Patrick akapasua lake kubwa na kumnywesha mama James maji ya kutosha.
Kutokana na mazingira kuwa hatarishi, Patrick alivaa fasta akachukua boksi lililokuwa na samaki aliokuwa anauza na kutoka mle ndani fasta huku akiwa haamini kama siku ile alikuwa kamkwangua mama James aliyetokea kumpenda kama siyo kumtamani kitambo.
Alipotoka pale breki ya kwanza ilikuwa dukani kwa Mpemba mmoja, akaomba apewe soda ya baridi sana, alipopewa akaketi kwenye benchi na kuanza kunywa soda huku akitabasamu kwa kujiona bonge la mjanja. “Hivi naota au ni kweli nimemkwangua mama James?” Patrick alijiuliza.
Kijana huyo aliyekuwa kafurahi kupitiliza alipomaliza soda ya kwanza aliagiza ya pili na ‘afu keki’ mbili, alipomaliza akamuomba Mpemba amuoneshe msala ili akapunguze maji. Mpemba alimwelekeza aende uani mwa nyumba, Patrick akaomba amwangalizie boksi lake akaenda msalani lakini lengo lake halikuwa kujisaidia bali kufanya usafi maana punde alitoka kumchinjia mtu baharini. Wakati kijana huyo akiwa katika harakati hizo, mama James alikuwa akilistaajabu penzi tamu la muda mfupi alilopewa na Patrick lililomuacha hoi maana baada ya kijana huyo kuondoka alijifunga kanga na kujibwaga sofani.
“Jamani siku zote nahangaika kupata raha anayonikosesha baba James kumbe Patrick niliyekuwa namdharau na kumuona ni muuza sato tu ni mjuzi wa mambo namna hii, kweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza,” mama James aliwaza. Hakuishia hapo tu, alimfagilia sana Patrick, kwanza kwa jinsi alivyojaaliwa, pili alivyo na pumzi kuliko mumewe ambaye anapowajibika hawezi kumaliza raundi bila kupumzika hata mara mbili ndipo amalize safari tena wakati mwingine mpaka apepewe. “Kwa dakika sijui tatu nilizokuwa naye, kaniburudisha namna hii je, kama ningekaa
naye saa tatu au nne si muda huu ningekuwa hoi?” mama James alizidi kumuwaza Patrick. “Huyu sasa ndiyo atakuwa mchepuko wangu, angekuwa na simu ningempigia nimshukuru kwa kujua kunipa raha na kupanga tukutane gesti ya mbali ili tujiachie kwa raha zetu,” mama James aliwaza.
Kwa kuwa nje aliacha kazi ya kufua, alitoka lakini kabla ya kupita kwenye mlango wa Selina Maringo, aliangalia mlango wao mkubwa wa kutokea nje na mbele, alipoona hakuna mtu akasogea na kuchungulia chumbani kwa Selina. Alipofanya hivyo, alimuona Frank na mrembo huyo wakiwa wamelaliana, akaishia kutabasamu na kuelekea uani alikounganisha moja kwa moja bafuni.
“Hata walaliane hadi kesho, siyo mbaya maana hata mimi nimempata wa kunipa raha, nisingempata hapo ningebaki na kiu yangu,” mama James alijisemea moyoni. Pamoja na kumpata Patrick, mama huyo alipanga kutoka na Frank siku yoyote ambayo angemnasa kwani alitamani sana kuonja vionjo vyake vilivyomfanya Selina kupiga yowe. Selina alipoona muda unakwenda na pale nyumbani zingeanza pilika za wapangaji wengine kuingia, akampatia Frank wekundu wa msimbazi wawili na kumwambia jioni akimuona anatoka amfuate ili waende sehemu.
Je, kilifuatia nini? Usikose kufuatilia uhondo huu Jumamosi ijayo. Maoni tumia namba hiyo hapo juu.