Wagombea 24 Wajitokea Kuwania Urais wa Somalia Global Publishers January 30, 2017 4,958 views SHARE THIS: SOMALIA: Takribani wagombea 24 wamejitokea kuwania Urais wa nchi ya Somalia ambapo uchaguzi mkuu unatarajiwa kufanyika mnamo Februari 8 mwaka huu. Kati ya hao, ni wagombea 16 ambao wana uraia pacha. SHARE THIS: