Ofisa Usambaji wa Global Publishers , Jimmy Haroub (katikati) akimsaidia msomaji kujaza kuponi ya bahati nasibu ya Shinda Nyumba.
Msomaji Issa Mohamed akijaza kuponi kushiriki bahati nasibu ya Shinda Nyumba
Wasomaji wakijaza kuponi za Shinda Nyumba
Eliaimoo Kombe akisoma gazeti ili ajaze kuponi ya bahati nasibu.
Emmanuel Maindoni (katikati) akijaziwa fomu yake ya Shinda Nyumba.
Salima Salum akijaza kwa bashasha kuponi yake ya Shinda Nyumba
Mr Shinda Nyumba akiwa na wasomaji wa magazeti yenye shindano la Shinda Nyumba.
Wasomaji wa Shinda Nyumba wakiwa na vipeperushi vya shindano hilo.
Wakiwa na bashasha ya shindano la Shinda Nyumba ni wasomaji wa magazeti ya Global Publishers.