×

Quick Rocka: “Record Labels Ni Muhimu Kwa Biashara”

Msanii wa Hip Hop kutoka Tanzania, Quick Rocka aongelea umuhimu wa Record Labels kwenye kukuza biashara ya muziki Tanzania.