Rais Magufuli Amuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi za Zima Moto na Mabalozi wanne
Global Publishers February 26, 2017
SHARE THIS:
Katika Picha ya pamoja leo Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Matrida Masuka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea KusiniRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Tukio lililofanyiaka leo Ikulu Dar es SalaamRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli Balozi Abdalla Kilima kuwa balozi wa Tanzania nchini OmanRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli Balozi Silima Haji kuwa Balozi wa Tanzania nchini SudanRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt, John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Dkt. Pindi Chana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya.