MSANII wa Bongo Fleva, Ali Kiba amewasili Dar akitokea Afrika Kusini alikokuwa ameenda kuchukua TUZO yake ya MTV

Mashabiki walivyojaa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar kumpokea Ali Kiba.