×

Eric Shigongo: “Unaweza kumudu vipi mafanikio uliyonao kwa miaka zaidi ya ishirini ijayo?” – (Video)

Kila Ijumaa Mkurugenzi wa Global Publishers, Mjasiriamali na Mfanyabiashara Eric Shigongo James anaungana na dunia nzima LIVE kupitia YouTube channel ya Global TV Online kutoa mafunzo mbalimbali ya jinsi gani ya kumudu mafanikio. 

Ijumaa hii Eric Shigongo ameendelea na kile kipengele cha How to Handle Success/ Jinsi ya kumudu mafanikio akizungumzia zaidi “Sheria Tano Za Kumudu Mafanikio.”

Je; Ni wangapi wetu tunajua namna ya kumudu mafanikio tunapoyapata? 

Eric Shingongo leo anatufundisha mambo matano ya kuzingatia ukiwa kwenye kilele cha mafanikio, zisome Tweets zifuatazo, zitafakari kwa kina kisha itazme video niliyokuwekea mwishoni then fix your life. 

GLOBAL TV LIVE: Eric Shigongo: Sheria Tano Za Kumudu Mafanikio

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasia, michezo, comedy, burudani, muziki na nyingine zikufikie kwa wakati.