×

Live Update: Yanga Kumenyana na Mtigwa Jamhuri

 

HALI ilivyo hivi sasa Uwanja wa Jumhuri Morogoro kuwa nasi kwa taarifa zaidi…

 

\

Mpira unaanza muda huu katik viwanja vya Jamhuri Morogoro

dakika ya 15 kipindi cha kwanza Mtibwa wanapata faulo,

Dakika ya 19  mabao 0-0 mchezo mkali sana mpenzi mfuatiliaji

Dakika 20 Shabani Mussa Nditi anapiga kichwa mpira unatoka Nje ya lango la Yanga

Dakika ya 24 Kelvin Yondani ananawa mpira, kwa hiyo ni faulo kuelekea kwenye club ya Yanga

Dakika 28 mchezaji wa Mtibwa anagondoka chini

Dakika 32 Yanga wanashambulia lango la Mtigwa

Dakika 34 Yanga wanafanya mabadiliko jezi 29 nafai yake anajukuliwa na Juma Mahadhi jezi yake namba 21 mgongoni

Dakika 35  Penalt kueleka lango la Mtigwa

Dakika ya Msungwa anapiga penalt

Msumva anakosa penalti

Dakika ya 37 Mtigwa wanakosa goli

Yanaga wanacheza katika hali ya hofu kwani wanatumia nguvu ili kushinda ili wawafikie Simba

Dakika ya 38 Yanga 0-0 Mtigwa

Dakika ya 40 Ali Shomali anasabisha Kona

Rashid baba Ubaya Anapiga kona

Kuelekea Lango la Yanga Myigwa wanapata kona nyingine

Dakika ya 42 Yanga wanasabisha faulo

Dakika Mbili zimeongezwa kabla ya kwenda mapumziko

Mcheza namba 04 chini….

Mpira ni mapumziko dakika 45 za kwanza zimekwisha Yanga 0 na Mtigwa 0 nini maoni yako mpenzi msomaji

Kipindi cha Pili….

Dakika ya 03 mpaka sasa  Yanga ni 0 na mtigwa ni 0

Dakika 52 Emmanuel Martini anapiga Penalt kuelekea lango la Mtigwa

Dakika 53 Saidi muhammed anagangwa gangwa hapa

Dakika ya 55 mtibwa wanakosa goli la wazi mpira unatoka setimta chache juu ya lango la Yanga

Dakika ya 57 Mtibwa wanapata kona

Dakika ya 60 faulo mtibwa wanapata faulo na mchezaji wa Yanga kapata kadi ya njano

Dakika 64 Mabao 0-0, mpira mkali sana kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro hapa

Dakika 69 Goli kick upande wa Mtibwa

Dakaki ya 71 Yanga wanafanya mabadiliko Kelvin Yondani anatoka nafasi yake inachukuliwa na Juma Makapu

Dakika ya 73 Faulo kuelekea goli la Mtibwa

Dakika 77 Mtibwa wanapata faulo, magoli bado 0-0

Dakika ya 79 Yanga wanapata kona, inapigwa na Simon Msuva

Dakika 80 Yanga wanapata kona doto, inapigwa tena Simon Msuva

lalala  ayaa shuti linababatizwa na mabeki wa Mtibwa kwenye dakika 81

Saidi Mohamedi goli kipa wa Mtibwa anadaka mpira kama nyani, anajilaza chini mpenzi mfuatiliaji, dakika sasa ya 84 mabao bado 0-0

Dakika ya 87  Yanga wanapata Kona, inachongwa na Simon Msuva

Dakika 4 za nyongeza zinaoneshwa na Mwamuzi wa akiba, baada ya dakika 90 kumalizika

Piiiiiiiiiiiiiiii Mpira umekwisha  Muamuzi anapuliza filimbi ya kumaliza mpira na Matokeo Mtibwa 0 na Yanga 0

 

SHINDA NYUMBA AWAMU YA PILI YATIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM