×

GLOBAL TV LIVE: Ungana na Eric Shigongo Uzifahamu Mbinu za Kufanikiwa, Leo Ijumaa

Ninahitaji kuzungumza na Watanzania wenzangu namna ya kufanikiwa. Kila inapofika siku ya Ijumaa, nitakuwa nikizungumza na wewe kupitia YouTube Channel yetu ya GLOBAL TV ONLINE. Ili uwe unaipata kila Ijumaa na kuitazama itakuwa vizuri ukiingia huko na KU-SUBSCRIBE ili uwe unapewa taarifa kila ifikapo. – Eric Shigongo

Kipindi hiki kitakuwepo leo Ijumaa kuanzia saa 10:00 jioni. Pata kujifunza mbinu za kufanikiwa katika kipindi hiki kigumu cha uchumi.

Unaweza kushare picha hii kwa marafiki zako wengi zaidi kuiona.

==========

Video za Nyuma: Mjasiriamali Amweleza Shigongo Mafanikio na Changamoto Zake