Pichaz: Alivyozikwa Sir George Kahama Makaburi ya Kinondoni Dar
Global Publishers March 16, 2017
SHARE THIS:
Gari maalum lililokuwa limebeba mwili wa marehemu Kahama.Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu kuingia kanisani. Misa ya kumuombea Marehemu ikiendelea kanisa la St. Peter Mbuyuni Kinondoni Dar.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, mkewe wa kwanza (kushoto) na waombolezaji wengine wakiwa makaburini.
Mke wa Marehemu Kahama akitupia udongo kwenye nyumba ya milele ya marehemu mume wakeWaombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza makaburini.
Viongozi wa dini wakiongoza Sala fupi makabirini
Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akitupa udongo katika nyumba ya milele ya Marehemu Kahama.…Kikwete na Mkewe mama Salma wakiweka udongo kwenye kaburi la Kahama.Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akiweka udongo kaburini.Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba akiweka udongo kaburini.Mke wa Marehemu, Janeth Kahama (katikati) akiwa katika huzuni. Pembeni yake ni watoto wake.Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande nae akiweka udongo kaburini.Balozi wa zamani Juma Mwapachu nae akiweka udongo.Mwanasiasa Mkongwe, mzee kingunge akitoa heshima zake za mwisho.Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba akitoa heshima za mwisho.Waombolezaji wakitoa heshima zao za mwisho.