×

Sakata la Makontena ya Mchanga wa Madini Bandarini… Rais Magufuli Amefanya Maamuzi Haya Leo Machi 29, 2017

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa kamati ya wataalam watakaochunguza kiwango cha madini kilichomo kwenye makontena ya Mchanga wa madini aliyoyakamata Bandarini hivi karibuni.