×

TANZIA: Mbunge Dkt. Elly Macha wa Chadema Afariki Dunia

Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika Hospitali ya New Cross Uingereza alikokuwa akitibiwa.

Macha aliyekuwa mlemavu wa macho amefariki akiwa na umri wa miaka 55 (1962-2017).