
USIKOSE kutazama Filamu ya kusisimua ya Kitanzania kwa lugha ya Kiswahili ‘MUWEKEZAJI’ leo Jumamosi saa 12:00 Jioni kupitia YouTube Channel ya Global TV Online.

Tembelea tovuti ya Global TV Online ili uwe mwanafamilia wa familia kubwa ya burudani dunia. Kumbuka Global TV inarusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili na matukio mengi utayapata mubashara.
