RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Total , Momar Nguer kuhusu mradi wa Bomba la Mafuta.