Wafanyakazi Wa Zantel Wafanya Mazoezi Uwanja Wa Malindi Zanzibar
Global Publishers December 20, 2017
SHARE THIS:
Wafanyakazi Wa Zantel Wafanya Mazoezi Uwanja Wa Malindi ZanzibarBaadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kushiriki shindano la mpira wa miguu katika uwanja wa Malindi hivi karibuni mjini Zanzibar, baada ya wafanyakazi hao kukutana mjini humo katika hafla ya kupanga mikakati ya Kampuni hiyo kwa mwaka 2018.