Nandy – Kivuruge (Official Video) Yatinga Namba 1 ‘Trending on Youtube’ Global Publishers December 21, 2017 5,670 views SHARE THIS: KWENYE sayari ya Bongo Fleva kwa sasa unapozungumzia wasanii wanaofanya poa huwezi kuacha kumtaja mwanadada Faustina Charles ‘Nady’ hivi karibuni ameachia video yake ya kivuruge ambayo ipo namba moja treanding Youtube. SHARE THIS: