×

Isha Mashauzi – Mwanamke Mpango Mzima (Official video)

Aisha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ hivi karibuni ametoa video ya wimbo wake ya Mwanamke Mpango Mzima. Katika Video hiyo ameonyesha umuhimu wa wanawake kwenye familia.