Huduma ya Lipa Kwa MPesa inakupa unafuu wa kupokea malipo ya bidhaa na huduma mbalimbali katika maduka, migahawa, hospitali na kumbi za burudani. Sajili biashara yako sasa http://vda.cm/jisajilihapa na ufurahie malipo kutoka mitandao mingine na akaunti za benki.