×

Pichaz na Video: Rais Magufuli Alivyokutana na Lowassa Ikulu

Rais Magufuli (kulia) akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Ikulu Dar.

IKULU: Rais Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa ambaye amempongeza Rais kwa kazi nzuri anayoifanya.

Rais Magufuli akiagana na Magufuli.
Viongozi hao wakisalimiana.

 

Wakiagana.

 

 

 

…Wakifurahia jambo.

VIDEO: SHUHUDIA TUKIO HILO