
JESHI la Polisi limemzuia Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kufanya mkutano katika Uwanja wa Mwanga Community Centre uliokuwa ufanyike leo.

Zitto amelalamikia hatua hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter akitumia ‘Lugha Ya Malkia’ kufikisha ujumbe
” Police Tanzania has banned a public meeting that I was to hold today as a member of parliament in my own constituency contrary to parliamentary powers and privileges act s.4(1) that MANDATORILY give me that freedom”
Ujumbe alioutuma Zitto kwenye Twitter ni huu hapa chini:

Full Video Harusi ya Shilole na Uchebe Mikocheni Dar