RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa kwa meli 5 zinazopeperusha bendera ya Tanzania zikiwa na dawa za kulevya.