
MPENZI mpya wa staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper, Sadiki Athanas Sanga ‘Engine’, ameachia video yake ya wimbo wa Ulingo.
Engine ameachia wimbo huo ikiwa ni siku chache baada ya kujitambulisha rasmi nyumbani kwa wazazi wa Wolper, ambapo kwa mujibu wa Wolper, ndoa kati yao itafuata siku chache zijazo.