×

TBC1: VITUKO! Mkandarasi Kasusia Ujenzi, RC Atangaza Kiama!

Mgogoro nwa kimaslahi kati ya halmashauri ya mji wa Njombe na mkandarasi Masasi Construction, unaeleza kukwamisha ujenzi wa kituo cha mabasi cha mkoa wa Njombe, uliogharimu shilingi Bilioni 2 na Milioni 800.

Mkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher Olesendeka, ametoa siku 3 kwa pande zinazohusika kumaliza mgogoro huo na ujenzi wa kituo hicho cha mabasi uweze kuendelea ili kuhudumia wananchi.

FUATILIA TAARIFA HIYO HAPA