×

Picha za Matukio Wakati wa Grammy Awards 2018

Lady Gaga.

NI usiku wa mastaa, ni usiku wa muziki na usiku wa wapenda burudani! Zile tuzo kubwa za dunia Grammy Awards zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Madison Square Garden jijini New York nchini Marekani.

Lady Gaga.

Katika tuzo hizo mastaa kibao wa marekani na Ulaya wameibuka washindi huku Bruno Mars akiongoza kwa kushinda Tuzo sita zikiwemo Album of The Year, Record of the Year na Song of The Year na huku rapa Kendrick Lamar akipata tuzo tano.

Lady Gaga.

 

Andrew Taggart na Alex Pall.

 

 

 

Kutoka kushoto ni John Legend  na mkewe, Chrissy Teigen  wakiwa na Neil Portnow .

 

Liberace.

 

Lady Gaga akikamua.

 

Rihana na Kendrick lamar.

 

 

 

Mfanyabaiashara maarufu duniani, Oprah.