×

JPM kutunuku Kamisheni kwa Maofisa wa JWTZ, Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli kesho tarehe 03 Februari, 2018 atawatunuku kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).