The House of Social Media
gunners X

Pichaz: Wasafi Walichokifanya leo Mwembe Yanga, Tandika Dar

WASANII kutoka label ya WCB, Lavalava, Hamonize, Rayvan na Rich Mavoko leo  wamefanya shoo kali  wakati wa kutambulishwa msanii Maromboso (Mbosso) kwenye viwanja vya Mwembe Yanga baada ya kuwa msanii mpya wa label hiyo. Awali Mbosso alikuwa ni msanii kutoka kwenye kundi la Yamoto Band.

(PICHA: MUSA MATEJA | GPL)

Comments are closed.