
MWILI wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Mzee kingunge Ngombale Mwiru umeagwa leo asubuhi katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam na kuzikwa katika Makaburi ya Kinondoni majira ya mchana.


KUAGWA KWA ‘KINGUNGE’ KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE (VIDEO)