×

POLISI KUZUIA MIKUTANO YA SIASA, MAANDAMANO NI SAWA?

Tungependa Watanzania wote waeleweshwe kuhusu jambo hili. Tumekuwekea mjadala maalum kuhusu polisi kuzuia mikutano ya kisiasa na maanadamo hapa nchini.

-Mjadala huu wa moto unajadiliwa kwenye Global Publishers App. Kama una ufahamu wowote kuhusu hili, kisheria au kwa mazingira ya kawaida, ingia sasa Global Publishers App uchangie mjadala huu.

Android: ==>

iOS: ==>

NB. Matusi, kejeli, kebehi na lugha chafu hazitakiwi kwa mjibu wa sheria za mitandao.