×

Global TV: Asanteni Kwa Kutufanya Kuwa Namba Moja

Asanteni watanzania kwa kututhamini na kutufanya kuwa namba moja.

Kwa mujibu wa mtandao wa kimataifa wa Social Blade wa nchini Marekani, Global TV ndiyo Online TV inayoongoza kwa kuangaliwa na kufuatiliwa YOU TUBE na watu wengi nchini Tanzania na Duniani kwa ujumla kwa sasa.

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1