EXCLUSIVE INTERVIEW: NA ABDI BANDA MCHEZAJI WA BAROKA FC (VIDEO)
Global Publishers March 8, 2018 4,644 views
SHARE THIS:
Mahojiano maalum kati ya Global Tv na beki Abdi Banda ambaye ni mchezaji wa Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Kabla ya kwenda Sauzi,, Banda alikuwa beki wa timu ya Simba ya jijini Dar.