×

Video Mpya: NISHA BEBE- BACHELA

Msanii wa filamu Bongo, Nisha Bebe ameachia wimbo wake wa kwanza kwa kuachia kwa kuanza na video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Bachela’.