Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) , Bw. Zhao Dianlong wakati alipozungumza na ujumbe wa Makampuni hayo kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 8, 2018.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe kutoka Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 8, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe kutoka Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na China, ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 8, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2018 amekutana na Rais wa Makampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC), Bw.Zhao Dianlong na ujumbe wake , ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma. Mazingumzo yao yalihusu fursa mbalimbali za uwekezaji Dodoma na Tanzania kwa ujumla.