MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Morogoro, Devota Minja (CHADEMA), amefunguka bungeni na kusema kwamba wanachopinga wapinzani sio Serikali kuwa na ndege bali ni jinsi ambavyo manunuzi ya ndege hizo yalivyofanyika.