×

SPOTI HAUSI LIVE: KUTANA NA BABA WA MBWANA SAMATTA LIVE

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama tutakuwa na mgeni ambaye ni Baba Mzazi wa MBWANA ALLY SAMATTA anayekipiga KRc Genk ya Ubelgiji.