×

MSANII RAMMY GALIS AZIMIA WAKATI WA KUMUAGA MASOGANGE

Mwigizaji Rammy Galis aliyekuwa mpenzi wa marehemu Masogange akiwa amezimia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wake viwanja vya Leaders.
…Akipewa huduma ya kwanza.

MSANII wa filamu Rammy Galis aliyekuwa mpenzi wa zamani wa marehemu Masogange leo alizimia baada ya kuuona mwili wa mpenzi wake huyo katika viwanja vya Leaders wakati wa kuuaga. Hata hivyo, baada ya kupata huduma ya kwanza alizinduka.