Mbunge wa viti Maalum Shinyanga, Salome Makamba, akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano amesema Bunge halikupitisha bajeti iliyotumika kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato ambao umegharimu takribani Tsh. Bilioni 42.